Ufafanuzi wa amia katika Kiswahili

amia

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    linda shamba kwa kupiga kelele ili kuwatisha na kuwafukuza ndege na wanyama wasiharibu mazao.

    hami

Matamshi

amia

/amija/