Ufafanuzi msingi wa amiri katika Kiswahili

: amiri1amiri2

amiri1

kitenzi elekezi

Asili

Kar

Matamshi

amiri

/amiri/

Ufafanuzi msingi wa amiri katika Kiswahili

: amiri1amiri2

amiri2

nomino

  • 1

    mwenye amri.

  • 2

    kiongozi mkuu.

    ‘Amiri jeshi’
    jemadari

Asili

Kar

Matamshi

amiri

/amiri/