Ufafanuzi wa amka katika Kiswahili

amka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  toka usingizini; kuwa macho.

 • 2

  kuwa na fahamu.

  zinduka

 • 3

  kuwa mwerevu.

  changamka

Matamshi

amka

/amka/