Ufafanuzi wa amplifaya katika Kiswahili

amplifaya

nomino

  • 1

    kifaa kinachotumika kukuza ukubwa wa sauti.

Asili

Kng

Matamshi

amplifaya

/amplifaja/