Ufafanuzi wa amrawi katika Kiswahili

amrawi

nominoPlural amrawi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba ifungwayo kwenye ncha moja ya foromali ili kutumiwa pamoja na baraji kwa ajili ya kuambatanisha foromali na mwelekeo wa jahazi, hutumika hasa wakati chombo kinapokwenda ili kukisia upepo.

    itilo, baraji

Asili

Kar

Matamshi

amrawi

/amrawi/