Ufafanuzi wa amrisho katika Kiswahili

amrisho

nominoPlural mamrisho

  • 1

    amri au agizo analopewa mtu ili atekeleze jukumu fulani.

Asili

Kar

Matamshi

amrisho

/amri∫ɔ/