Ufafanuzi wa amriwa katika Kiswahili

amriwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanyiwa uamuzi.

  • 2

    agizwa.

Asili

Kar

Matamshi

amriwa

/amriwa/