Ufafanuzi wa amuru katika Kiswahili

amuru

kitenzi elekezi

  • 1

    toa amri.

    amrisha, shurutisha, agiza, hukumu

Asili

Kar

Matamshi

amuru

/amuru/