Ufafanuzi wa ana kwa ana katika Kiswahili

ana kwa ana

kielezi

  • 1

    (ms) uso kwa uso.

  • 2

    uso kwa macho.

Matamshi

ana kwa ana

/ana kwa ana/