Ufafanuzi wa Ana mkono mzito katika Kiswahili

Ana mkono mzito

msemo

  • 1

    anafanya kazi au jambo taratibu.