Ufafanuzi wa anagramu katika Kiswahili

anagramu

nomino

  • 1

    neno linaloundwa kwa kubadilisha herufi za neno jingine k.m. sumaku — sukuma.

Asili

Kng

Matamshi

anagramu

/anagramu/