Ufafanuzi wa anamometa katika Kiswahili

anamometa, anemomita

nomino

  • 1

    kifaa kinachotumika kupimia kasi ya upepo.

    kipimaupepo

Asili

Kng