Ufafanuzi wa anatomia katika Kiswahili

anatomia

nomino

  • 1

    tawi la sayansi linalochunguza muundo au umbile la viumbe na mimea.

Asili

Kng

Matamshi

anatomia

/anatɔmija/