Ufafanuzi wa andaa katika Kiswahili

andaa

kitenzi elekezi

  • 1

    weka tayari.

    adidi, zatiti, tayarisha

Matamshi

andaa

/anda:/