Ufafanuzi wa andazi katika Kiswahili

andazi

nominoPlural mandazi

  • 1

    mkate mdogo uliotengenezwa kwa unga wa ngano na kukaangwa kwa mafuta.

Matamshi

andazi

/andazi/