Ufafanuzi wa angama katika Kiswahili

angama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~iza

  • 1

    kwama juu ya kitu.

    ‘Tiara yake imeangama mtini’
    ning’inia, anga

Matamshi

angama

/angama/