Ufafanuzi msingi wa angukia katika Kiswahili

: angukia1angukia2

angukia1

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    omba msamaha; taka radhi.

Matamshi

angukia

/angukija/

Ufafanuzi msingi wa angukia katika Kiswahili

: angukia1angukia2

angukia2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    jishindia; jipatia zawadi.

Matamshi

angukia

/angukija/