Ufafanuzi wa anguko katika Kiswahili

anguko

nominoPlural manguko

  • 1

    hali ya kupoteza cheo, madaraka, hadhi, n.k..

Matamshi

anguko

/angukɔ/