Ufafanuzi wa angusa katika Kiswahili

angusa

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya haraka; fanya upesi.

    harakisha

Matamshi

angusa

/angusa/