Ufafanuzi wa anika katika Kiswahili

anika

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka au tandaza juani vitu k.v. mpunga, nguo, samaki ili vikauke.

  • 2

    weka bayana.

Matamshi

anika

/anika/