Ufafanuzi wa ankra katika Kiswahili

ankra

nomino

  • 1

    orodha ya vitu vilivyouzwa na bei zake.

    bili, waraka

Asili

Kar

Matamshi

ankra

/ankra/