Ufafanuzi wa anna katika Kiswahili

anna

nomino

  • 1

    sehemu ya kumi na sita ya rupia.

Asili

Khi

Matamshi

anna

/anna/