Ufafanuzi wa Ansari katika Kiswahili

Ansari

nominoPlural mAnsari

Kidini
  • 1

    Kidini
    watu waliomsaidia Mtume Muhammad (s.a.w.) alipohajiri kutoka Makka kwenda Madina.

Asili

Kar

Matamshi

Ansari

/ansari/