Ufafanuzi wa antena katika Kiswahili

antena

nominoPlural antena

  • 1

    kifaa kinachotumika kunasia mawimbi ya sauti katika redio au sauti na picha katika televisheni.

    erieli

Asili

Kng

Matamshi

antena

/antɛna/