Definition of antonimu in Swahili

antonimu

noun

  • 1

    neno lenye maana ambayo ni kinyume cha neno jingine k.v. juu na chini au mwanzo na mwisho; neno ambalo maana yake inapatikana kwa kuangalia kinyume cha neno jingine.

Origin

Kng

Pronunciation

antonimu

/antɔnimu/