Ufafanuzi wa apiza katika Kiswahili

apiza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    ombea mtu maovu.

    laani, duia

Matamshi

apiza

/apiza/