Ufafanuzi wa aproni katika Kiswahili

aproni

nominoPlural aproni

  • 1

    aina ya vazi linalovaliwa juu ya nguo sehemu ya mbele, agh. kuanzia tumboni hadi magotini na kufungwa kiunoni ili kuzuia nguo zisichafuke wakati mtu anapofanya kazi k.v. kufagia au kupika chakula.

Asili

Kng

Matamshi

aproni

/aprɔni/