Ufafanuzi wa apua katika Kiswahili

apua

kitenzi elekezi

  • 1

    vunja kiapo.

  • 2

    futa maneno ya kiapo.

    ‘Kuapa na kuapua’

Matamshi

apua

/apuwa/