Ufafanuzi msingi wa ardhilhali katika Kiswahili

: ardhilhali1ardhilhali2

ardhilhali1

nominoPlural ardhilhali

  • 1

    maombi yanayoandikwa ili kutaka msaada fulani kutoka kwa mtu mwenye mamlaka.

Asili

Kar

Matamshi

ardhilhali

/arðilhali/

Ufafanuzi msingi wa ardhilhali katika Kiswahili

: ardhilhali1ardhilhali2

ardhilhali2

nominoPlural ardhilhali

  • 1

    waraka wa mapendekezo au maazimio ya kundi la watu au mkutano.

Asili

Kar

Matamshi

ardhilhali

/arðilhali/