Ufafanuzi msingi wa aridhi katika Kiswahili

: aridhi1aridhi2

aridhi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kera au sumbua mtu kwa kumpinga.

Asili

Kar

Matamshi

aridhi

/ariði/

Ufafanuzi msingi wa aridhi katika Kiswahili

: aridhi1aridhi2

aridhi2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    panga katika orodha.

Asili

Kar

Matamshi

aridhi

/ariði/