Ufafanuzi wa arudhi katika Kiswahili

arudhi

nominoPlural arudhi

  • 1

    elimu ya kanuni za ujenzi wa ushairi.

  • 2

    usuli na matumizi ya lugha kwa ujumla.

Asili

Kar

Matamshi

arudhi

/aruði/