Ufafanuzi wa asali katika Kiswahili

asali

nominoPlural asali

 • 1

  maji matamu mazito, agh. hutengenezwa na nyuki au hutokana na mimea.

  ‘Asali ya miwa’
  ‘Asali ya tembo’
  ‘Asali ya nyuki’
  methali ‘Fuata nyuki ule asali’
  methali ‘Anayeonja asali huchonga mzinga’
  uki

Asili

Kar

Matamshi

asali

/asali/