Ufafanuzi wa asbesto katika Kiswahili

asbesto

nominoPlural asbesto

  • 1

    madini ya kijivu yaliyokuwa yakitumika katika ujenzi yakiunganishwa na bati ili kuzuia mvua, kukinga dhidi ya moto, na sasa hutumiwa kutengenezea lami.

Asili

Kng

Matamshi

asbesto

/asbɛstɔ/