Ufafanuzi wa asfari katika Kiswahili

asfari

kivumishi

kishairi
  • 1

    kishairi -a rangi ya manjano.

Asili

Kar

Matamshi

asfari

/asfari/