Ufafanuzi msingi wa asi katika Kiswahili

: asi1asi2

asi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kataa kutii amri; pinga kanuni au sheria.

    halifu, huni, haini

Asili

Kar

Matamshi

asi

/asi/

Ufafanuzi msingi wa asi katika Kiswahili

: asi1asi2

asi2

kivumishi

  • 1

    -siofuata kanuni au amri; -a kupinga kanuni au amri.

    kaidi

Asili

Kar

Matamshi

asi

/asi/