Ufafanuzi msingi wa asiria katika Kiswahili

: asiria1asiria2

asiria1

kivumishi

  • 1

    -a kisasa.

    mamboleo

Asili

Kar

Matamshi

asiria

/asirija/

Ufafanuzi msingi wa asiria katika Kiswahili

: asiria1asiria2

asiria2

nominoPlural asiria

  • 1

    mtu wa kisasa.

Asili

Kar

Matamshi

asiria

/asirija/