Ufafanuzi wa asisi katika Kiswahili

asisi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    weka msingi.

    anzisha

Asili

Kar

Matamshi

asisi

/asisi/