Ufafanuzi wa askari wa mgambo katika Kiswahili

askari wa mgambo

  • 1

    askari wa kujitolea anayelinda watu na mali zao.

Ufafanuzi wa Askari wa mgambo katika Kiswahili

Askari wa mgambo

  • 1

    askari wa akiba ambaye amepata mafunzo ya kijeshi kwa ajili ya ulinzi wa taifa lakini ambaye hafanyi kazi jeshini.