Ufafanuzi wa askofu katika Kiswahili

askofu

nominoPlural maskofu

Kidini
  • 1

    Kidini
    mchungaji mkuu au kasisi mkuu wa Wakristo ambaye huongoza jimbo la kanisa na mwenye mamlaka ya kumtawaza mchungaji au padri.

Asili

Kar

Matamshi

askofu

/askɔfu/