Ufafanuzi wa ateri katika Kiswahili

ateri

nomino

  • 1

    mshipa unaosambaza damu inayotoka moyoni, mwilini.

Asili

Kng

Matamshi

ateri

/atɛri/