Ufafanuzi msingi wa ati! katika Kiswahili

: ati!1ati!2

ati!1 , eti!

kiingizi

 • 1

  neno la kumfanya mtu asikilize.

  ‘Ati Juma!’

 • 2

  eti!

Matamshi

ati!

/ati/

Ufafanuzi msingi wa ati! katika Kiswahili

: ati!1ati!2

ati!2 , eti!

kiingizi

 • 1

  neno la kuonyesha shaka juu ya jambo fulani.

  ‘Ati kesho sikukuu?’

 • 2

  neno la kuonyesha dharau.

  ‘Ati naye anajifanya ni askari’

 • 3

  eti!

Matamshi

ati!

/ati/