Ufafanuzi wa atika katika Kiswahili

atika

kitenzi elekezi

  • 1

    ng’oa mmea k.v. mche wa mnazi au mchungwa, na kuupanda mahali pengine.

    pandikiza, kitia

Matamshi

atika

/atika/