Ufafanuzi wa atilika katika Kiswahili

atilika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pata jeraha au kilema kutokana na ajali au ugonjwa.

    lemaa

  • 2

    fujika kwa kitu kutokana na kutotumika.

Asili

Kar

Matamshi

atilika

/atilika/