Ufafanuzi msingi wa auni katika Kiswahili

: auni1auni2

auni1

kitenzi elekezi

  • 1

    patia mtu msaada.

    saidia, aviza

Asili

Kar

Matamshi

auni

/awuni/

Ufafanuzi msingi wa auni katika Kiswahili

: auni1auni2

auni2

nomino

Asili

Kar

Matamshi

auni

/awuni/