Ufafanuzi wa ayali katika Kiswahili

ayali

nominoPlural ayali

kishairi
  • 1

    kishairi watu wa nyumbani k.v. jamaa, ndugu, watoto, n.k..

    familia, fuko

Asili

Kar

Matamshi

ayali

/ajali/