Ufafanuzi wa ayari katika Kiswahili

ayari

nominoPlural ayari

  • 1

    mtu mdanganyifu.

    mwongo, laghai, mzushi, mjanja, kanda

Asili

Kar

Matamshi

ayari

/ajari/