Ufafanuzi wa azma katika Kiswahili

azma

nomino

  • 1

    jambo linalokusudiwa kufanywa.

    ‘Ameshindwa kutekeleza azma yake ya kugombea ubunge’
    madhumuni, makusudio, lengo

Asili

Kar