Ufafanuzi wa baadaye katika Kiswahili

baadaye

kielezi

  • 1

    baada ya kumalizika muda fulani.

    halafu, mwishowe, kisha

Asili

Kar

Matamshi

baadaye

/ba adajɛ/