Ufafanuzi msingi wa baadhi katika Kiswahili

: baadhi1baadhi2

baadhi1

nomino

 • 1

  sehemu ya vitu au watu.

  ‘Baadhi ya vitabu alivyonavyo ni vya hadithi’

Asili

Kar

Matamshi

baadhi

/ba aði/

Ufafanuzi msingi wa baadhi katika Kiswahili

: baadhi1baadhi2

baadhi2

nomino

 • 1

  (agh. kwa wingi)

  ‘Juma anakaa baadhi za Kariakoo’
  upande

Asili

Kar

Matamshi

baadhi

/ba aði/