Ufafanuzi wa baathi katika Kiswahili

baathi

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
 • 1

  Kidini
  fufua wafu siku ya kiyama.

  fufua

 • 2

  Kidini
  pewa utume.

 • 3

  Kidini

  buathi

Asili

Kar

Matamshi

baathi

/ba aθi/